Trump ashtakiwa kwa kutumia fedha za kampeni kumlipa mcheza filamu za ngono

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Marekani anatakiwa kufika mbele ya mahakama ya Manhattan New York kufuatia mashtaka yake ya kutumia pesa za kampeni kumlipa mcheza filamu za ngono ili kumnyamazisha.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari