Trump asema alikasirishwa na vurugu za wafuasi wake Congress

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Donald Trump asema alikasirishwa na ghasia zilizo tokea bungeni wafuasi wake walipovamia Bunge la Marekani wiki hii.
- Mkuu wa Polisi Uganda awaonya wapiga kura kutobakia katika vituo baada ya kupiga kura
-Tanzania na China zasaini makubaliano ya kujenga reli.