Trump afunguliwa mashtaka mara mbili na Baraza la Wawakilishi

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani Donald Trump anakuwa rais wa kwanza Marekani kufunguliwa mashtaka mara mbil na Baraza la Wawakilishi.