Trump aendelea kulalamika licha ya Biden kutangazwa mshindi

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya Rais mteule Joe Biden kutangazwa kuwa mshindi katika kinyang'anyiro cha urais, Rais Donald Trump aendelea kushinikiza kulikuwa na wizi wa kura katika Uchaguzi Mkuu.