Trump abadili msimamo wake wa kuvaa barakoa

Your browser doesn’t support HTML5

Kura za maoni nchini Marekani kuelekea uchaguzi mkuu zimemsukuma Rais Donald Trump kuhimiza wananchi kuvaa barakoa.