Zulia Jekundu : Ep 345: Park and Vibe inavyotamba Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Ndani ya Zulia Jekundu Wiki Hii: Maambukizi ya Covid 19 Duniani yamebadili mifumo ya maisha na jinsi sekta nyingi zinavyoendeleshwa.Hii imelazimu binadamu kubadili jinsi wanavyohusiana na kuendesha shughuli zao japo wanahakikisha wamejifurahisha .