Timu ya Valencia yatoka uwanjani kupinga matamshi ya kibaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya Valencia ilitoka uwanjani wakati wa mechi na timu Cadiz baada ya kudai kulitolewa matamshi ya kibaguzi dhidi ya mchezaji wake Mouctar Diakhaby, lakini ikarejea baadae uwanjani na kumalıza mechi ambapo walishindwa kwa bao 2-1.