Timu ya US Monastir ya Tunisia yaibuka na ushindi wa pili michuano ya BAL
Your browser doesn’t support HTML5
Timu ya US Monastir ya Tunisia imepata ushindi wake wa pili katika michuano ya pili ya Mpira wa Kikapu barani Afrika, BAL, baada ya kuwabwaga mabingwa wa Guinea, Seydou Athletic Club kwa jumla ya pointi 76-55.