Timu ya Italia yawashangaza washabiki baada ya kupata kichapo cha Macedonia

Your browser doesn’t support HTML5

Vijana wa Italia waliowavunja moyo Waingereza mwezi Julai mwaka jana waliposhinda fainali ya kombe la Ulaya lakini baada ya kushindwa kufuzu Kombe la Dunia mara ya pili mfululizo wamewashangaza washabiki wakijiuliza, je huo ulikuwa ushindi wa kubahatisha, baada ya kufungwa na Macedonia.