Tatizo la trakoma linavyosumbua watu barani Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Namna ya kukabiliana na tatizo la maradhi ya Trakoma na jinsi ya kufuatilia tiba ili kuepukana na kupofuka macho tatizo ambalo ni changamoto kwa nchi nyingi Afrika.