Tathmini ya athari za mabadiliko ya hali ya hewa zinazolikabili Bara la Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Janga la Ukame ambalo limepelekea watoto kukabiliwa na utapiamlo huku maelfu ya mifugo kufa. Huu ni ukame na njaa inavyoathiri mataifa mengi ya Pembe ya Afrika. Wakati huo huo mafuriko makubwa yanatokea Afrika Magharibi.

Hivyo basi athari za mabadiliko ya hali ya hewa ziko dhahiri bara zima la Afrika. Ungana na mwandishi wetu akikuletea repoti kamili mbalimbali zinazotakiwa kuchukuliwa kukabiliana na janga hili ...