Tathmini juu ya ujumbe wa Rais Biden Marekani itatumia diplomasia

Your browser doesn’t support HTML5

Tathmini ya ujumbe wa Rais Biden alipoingia Madarakani kuwa Marekani imerejea kwenye jukwaa la kimataifa na kuahidi diplomasia ingechukuwa nafasi ya nguvu za jeshi kama chombo kikuu cha sera ya mambo ya nje.