Tanzania yaweka historia kwa kupata Rais wa kwanza mwanamke

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania yaweka historia kwa kuwa na Rais wa kwanza mwanamke Samia Suluhu Hassan baada ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Taifa hilo hayati John Pombe Magufuli.
- Wananchi wa Tanzania waeleza matarajio yao juu ya utawala mpya wa Rais Samia Suluhu Hassan.