Tanzania yaripoti maambukizi mapya ya virusi vya corona

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania yatangaza maambukizi zaidi ya virusi vya corona huku watu watano wote raia wa nchi hiyo wakithibitishwa kuwa na maambukizi hayo.