Tanzania yaridhia itifakı ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la Tanzania laridhia itifaki ya kusafirisha mazao kuvuka mipaka ya Tanzania na kuhakikisha usalama wa bidhaa hizo zinazotokana na mimea na wanyama, pamoja na kuharakisha maendeleo ya sekta ya kilimo...