Tanzania yaendelea kuchukuwa hatua kudhibiti maambukizi ya corona

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania yaimarisha katazo la mikusanyiko na kufunga hoteli Zanzibar ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.