Tanzania yaanza kuzalisha vifaa vya kujikinga na corona

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Tanzania wakabili uhaba wa vifaa vya kuwakinga watoa huduma ya afya wakibuni mavazi yanayotumia mali ghafi mbadala kukidhi mahitaji ya vituo vya afya