Tanzania: Uongozi wa mgodi wa dhahabu Shinyanga waeleza wachimbaji hawagusi mercury

Your browser doesn’t support HTML5

Mgodi wa kuchimba dhahabu ulioko Shinyanga, Tanzania unaendelea kutoa ajira kwa wengi huku uongozi wa mgodi huo wakieleza kuwa wanachukua tahadhari kuhakikisha wafanyakazi hawagusi mercury na ngozi zao.

Mercury ambayo inatumika kusafisha dhahabu inamadhara kwa mwanadamu. Ungana na mwandishi wetu aliyetembelea mgodi huo na anakuletea taarifa kamili...