Tanzania : Tishio la maambukizi baada ya ushauri wa kujikinga kupuuzwa

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya Watanzania waendelea kupuuza ushauri wa kujikinga na virusi vya Corona huku serikali ikisema chanjo zipo.
- Serikali ya Madagascar yasema njama za kumuua rais wa nchi hiyo zagonga mwamba.

- Na China yakataa mapendekezo ya WHO ya kufanyiwa uchunguzi zaidi asili ya virusi vya Corona.