Duniani Leo : Tanzania : Machi 31 : Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri
Your browser doesn’t support HTML5
Mabadiliko makubwa ameyafanya kwenye Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kumteua balozi Liberata Mulamula kuwa mbunge na baadaye kumteua kushikilia wizara hiyo. Pia amemteua balozi Hussein Katanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi.