Tanzania : Mwili wa Hayati Magufuli waagwa Chato

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa serikali na wananchi waongoza shughuli ya kuuaga mwili wa hayati John Pombe Magufuli wilayani Chato, mkoani Geita, Tanzania.
- Marekani yathibitisha nia ya dhati kuimarisha uhusiano na Jumuiya ya Kujihami NATO.

- Juhudi zinaendelea kutoa meli kubwa iliyokwama katika mfereji wa Suez Misri.