Tanzania kuboresha sera na sheria za uwekezaji

Your browser doesn’t support HTML5

Mkakati wa serikali kufanya mapitio katika maeneo mbalimbali ya uwekezaji nchini Tanzania unatiliwa mkazo na kauli ya Waziri wa Uwekezaji ya kutaka nchi hiyo kuwa na uchumi shindani ili kuvutia wawekezaji zaidi.