Tanzania : Kamati yashauri serikali iruhusu chanjo ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Kamati maalum iliyoundwa na Rais wa Tanzania kushauri kuhusu COVID-19 yapendekeza nchi hiyo iruhusu chanjo ya ugonjwa wa Corona.
Taasisi za Kiislam nchini Marekani zimesusia Jumapili sherehe za Eid el Fitr zilizoandaliwa na White House kwa njia ya mitandao.

Israeli yashambulia njia za chini kwa chini inazodai zinatumiwa na kikundi cha Hamas.