Tanzania inaendelea kutafiti teknolojia ya kutokomeza malaria

Your browser doesn’t support HTML5

Taasisi ya Utafiti wa Afya ya Ifakara inaendelea kutafuta mbinu ya kutumia teknolojia kubadilisha vinasaba vya mbu na kufanya visiwe na uwezo wa kubeba vimelea vya malaria na pia kubadilisha uwezo wa mbu kuzaa.