Taasisi yawachunguza polisi waliomfanyia ukatili mbunge Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi waliopelekwa kutawanya wabunge waliokuwa wanataka kumuondoa Spika wa Bunge la Kenya na kuzusha ghasia wameripotiwa kufanya ukatili dhidi ya mbunge wa kike nchini Kenya na hivi sasa wanachunguzwa.