Matukio ya Dunia Sudan yakataa kusaini mkataba wa matumizi ya mto Nile 14 Mei, 2020 Your browser doesn’t support HTML5 Serikali ya Sudan yakataa kusaini mkataba wa awali wa kuiruhusu Ethiopia kutumia maji ya mto Nile kujaza mabwa yake.