Sudan yakamilisha makubaliano na Washington ya kulipa fidia

Your browser doesn’t support HTML5

Sudan imefikia makubaliano na Washington kulipa fidia kwa waathirika wa mabomu yaliyoripuliwa katika ofisi za ubalozi wa Marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998.