Rais Kiir aahidi kutoirudisha Sudan Kusini vitani
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ameahidi hatairejesha nchi ambayo imegubikwa na vurugu kwenye mapigano katika hotuba yake yakuadhimisha miaka 10 ya uhuru iliyofanyika bila ya shamrashamra zozote.