Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson azungumzia wajibu wa Bunge kupunguza matumizi ya serikali

Your browser doesn’t support HTML5

Spika wa bunge la Tanzania Tulia Ackson amesema bunge la nchini hiyo lina wajibu wa kupunguza matumizi ya serikali. Ameyasema hayo katika mahojiano maalumu na kipindi hichi cha Duniani Leo.

Dkt. Ackson ni Mwenyekiti wa muungano wa mabunge ya Afrika –IPU na sasa anagombea kuwa rais wa muungano huo. Kwanza anaanza kwa kujibu kuhusu kubana matumizi ya serikali...