Somalia yaongoza kwa uzalishaji wa maziwa ya ngamia duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Somalia yaongoza kwa uzalishaji wa maziwa ya ngamia ambayo wataalam wa afya wanasema yana virutubisho bora mbalimbali kwa mwanadamu pia.