Somalia: Maonyesho ya vitabu ya Mogadishu yahamasisha usomaji vitabu
Your browser doesn’t support HTML5
Maonyesho ya Vitabu ya Mogadishu yalifanyika wiki iliyopita baada ya mapumziko ya miaka mitatu kwa sababu ya janga la Corona. Ungana na mwandishi wetu akikuletea mafanikio na changamoto za maonyesho hayo, yaliyokusudiwa kukuza utamaduni wa usomaji.