Sisi ni Watanzania : Episode 1

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati kampeni za uchaguzi nchini Tanzania zikiwa zinafikia ukingoni na wananchi wakijiandaa kupiga kura wiki ijayo, VOA inakueletea Makala maalum ya sisi ni watanzania ambapo tunazungumza na wakazi wa nchi hiyo kujua yale wanayofikiria kuelekea katika uchaguzi huu.