Sintofahamu yaendelea kuhusu Olympiki Japan 2021

Your browser doesn’t support HTML5

Sinatofahamu inaendelea kuhusu michezo ya Olymipiki inayotarajiwa kufanyika Julai 23 mwaka 2021, wakati Rais wa Kamati ya Tokyo akisema hawafikirii kuahirishwa kwa michezo hiyo.