Siku ya Mazingira Duniani : Wataalam wasisitiza nchi zihamasishe elimu zaidi

Your browser doesn’t support HTML5

Wataalam wasisitiza elimu zaidi ya mabadiliko ya hali ya hewa inahitajika katika bara la Afrika na iingizwe kwenye mitaala ya elimu.