Siku ya Mazingira Duniani : Wanafunzi washirikishwa kupanda miti Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wa mazingira nchini Kenya wameanzisha kampeni ya kila mwanafunzi kupanda mti na kuumwagilia ukiwa chini ya uangalizi wake shuleni.