Siku ya Kiswahili Duniani: Mmarekani aeleza jinsi alivyoweza kubuni App ya kujifunza Kiswahili

Your browser doesn’t support HTML5

Mmarekani aeleza namna alivyoweza kubuni App ya kujifunza Kiswahili katika safari yake ya kutaka kujua lugha ya Kiswahili. Ungana na mwandishi wetu kutoka Kenya akieleza namna alivyotengeneza App ya Imperative ili kuwasaidia wanafunzi wa Kimarekani wanaotaka kujifunza Kiswahili.