Siku 36 zimebakia kabla ya Uchaguzi Mkuu Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Tanzania wamebakiza siku 36 kabla ya kufanya maamuzi ya kuwachagua viongozi wa nchi yao.