Siku 100 za Rais Mwinyi madarakani zenye kishindo
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi amekamilisha siku 100 tangu kuchukua madaraka kwa kishindo huku akifanya mabadiliko mbalimbali katika kuimarisha timu yake ya uongozi wakati wananchi wakiwa na matumaini makubwa.