Siasa : Safari ya Omar Fateh mwenye asili ya Somalia (2)

Your browser doesn’t support HTML5

Katika mfululizo wa makala zetu kuhusu waafrika wanaoishi hapa Marekani ambao wamewania nafasi za uongozi na kuwakilisha maeneo wanayoishi.

Leo hii tunamuangazia Omar Fateh ambaye wazazi wake ni kutoka Somalia. Fateh anaishi katika mji wa Minneapolis tunazungumzia wasifu wake na safari iliyomfikisha kushinda nafasi ya useneta katika wilaya ya 62 huko Minneapolis.