Shule zafunguliwa Kenya huku COVID-19 ikiwa changamoto kubwa

Your browser doesn’t support HTML5

Shule zafunguliwa Kenya katika mazingira yenye changamoto kubwa baada ya kufungwa kwa miezi tisa kutokana na janga la corona
-Idadi ya watu wanaoendelea kuambukizwa virusi vya corona yaendelea kuongezeka Marekani.
-Sudan, Misri na Ethiopia zarejea tena kwenye mazungumzo juu ya bwawa la umeme.