Matukio ya Dunia Shule zafunguliwa kaskazini mwa Nigerią 30 Septemba, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Shule zafunguliwa tena kaskazini mwa Nigeria baada ya wakazi wa maeneo hayo waliokimbia kutokana na mashambulizi ya Boko Haram kurejea.