COVID-19 : Shule zafunguliwa Kenya zikikabiliwa na changamoto

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya miezi tisa ya kimya cha kutisha mashuleni nchini Kenya kutokana na kusitishwa masomo kufuatia janga la Corona, hatimaye wanafunzi waanza muhula wa pili wa masomo huku kukiwa bado na changamoto ya kudhibiti COVID-19.