Shule hazina wanafunzi tangu waalimu kugoma 2022 nchini Sudan
Your browser doesn’t support HTML5
Shule hazina wanafunzi nchini Sudan tangu waalimu kuitisha migomo Novemba mwaka 2022. Ungana na mwandishi wetu akikuelezea hali ya elimu nchini humo na nini wadau waelimu wanaeleza kuhusu hatma ya wanafunzi.