Shisha ni nini na ilianzia wapi? Ungana na VOA Swahili wakikuletea ripoti maalum kuhusu utumiaji wa shisha

Your browser doesn’t support HTML5

Utumiaji wa shisha umekuwa kama fasheni kwa vijana wengi sana maeneo ya mijini. Je shisha ni nini na ilianzia wapi? Madhara ya shisha ni yapi haswa?