Shirikisho la kandanda Afrika lakaguliwa kwa mara ya tatu

Your browser doesn’t support HTML5

Shirikisho la kandanda la Afrika, CAF, lafanyiwa ukaguzi wa mahesabu kwa mara ya tatu katika muda wa miezi 18.