Shirika lisilo la kiserikali lawasaidia wakimbizi wanawake kupata kazi

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika lisilo la kiserikali nchini Kenya lawasaidia wakimbizi wanawake kutoka Afrika Mashariki kupata mafunzo ya kompyuta ili waweze kutafuta ajira mitandaoni.