Shirika lisilo la kiserikali lasaidia wanafunzi Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mpango wa shirika lisilokuwa la kiserikali Kenya wakutoa chakula katika Shule ya Saint George ya mtaa wa mabanda wa Kibra lawasaidia wanafunzi ambao wengi wao hutegemea chakula kinachotolewa mashuleni.