Shauku kujua mwelekeo wa rais mpya yatanda Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya Rais mpya wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuapishwa kufuatia kifo cha hayati Rais John Magufuli, wananchi wa Tanzania wanashauku kubwa kutaka kujua mwelekeo wake katika kuiongoza nchi hiyo.