Shambulizi linalodaiwa kufanywa na ADF lauwa 16 DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 16 wauawa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) katika shambulizi linalodaiwa kufanywa na waasi wa kikundi chenye msimamo mkali wa kidini cha ADF.
- Serikali ya Zanzibar yaendelea kutoa chanjo za COVID-19 ikilenga kufikia watu milioni 1.

- Ufunguzi rasmi wa Michezo ya Olimpiki wafanyika Ijumaa mjini Tokyo, Japan.