Shambulizi katika duka la Walmart lauwa watu saba na kujeruhi wengine kadhaa

Your browser doesn’t support HTML5

Watu saba wa wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika shambulizi la risasi kwenye duka la Walmart huko Virginia Jumanne usiku.

Michuano ya Kombe la Dunia inaendelea Qatar huku Japan ikiwashangaza wengi leo kushinda mechi dhidi ya vigogo wa Ulaya Ujerumani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari